Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 11:18

Ufunuo 11:18 BHN

Watu wa mataifa waliwaka hasira, lakini ghadhabu yako imefika, naam wakati wa kuwahukumu wafu. Ndio wakati wa kuwatuza watumishi wako manabii, watakatifu na wote wanaolitukuza jina lako, wakubwa kwa wadogo. Ni wakati wa kuwaangamiza waangamizi wa dunia.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufunuo 11:18