Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufu 12:5-6

Ufu 12:5-6 SUV

Naye akazaa mtoto mwanamume, yeye atakayewachunga mataifa yote kwa fimbo ya chuma. Na mtoto wake akanyakuliwa hata kwa Mungu, na kwa kiti chake cha enzi. Yule mwanamke akakimbilia nyikani, ambapo ana mahali palipotengenezwa na Mungu, ili wamlishe huko muda wa siku elfu na mia mbili na sitini.

Soma Ufu 12

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufu 12:5-6