Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufu 13:11-12

Ufu 13:11-12 SUV

Kisha nikaona mnyama mwingine, akipanda juu kutoka katika nchi; naye alikuwa na pembe mbili mfano wa Mwana-Kondoo, akanena kama joka. Naye atumia uwezo wote wa mnyama yule wa kwanza mbele yake. Naye aifanya dunia na wote wakaao ndani yake wamsujudie mnyama wa kwanza, ambaye jeraha lake la mauti lilipona.

Soma Ufu 13

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufu 13:11-12