Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufu 21:3

Ufu 21:3 SUV

Nikasikia sauti kubwa kutoka katika kile kiti cha enzi ikisema, Tazama, maskani ya Mungu ni pamoja na wanadamu, naye atafanya maskani yake pamoja nao, nao watakuwa watu wake. Naye Mungu mwenyewe atakuwa pamoja nao.

Soma Ufu 21

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufu 21:3