Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufu 22:20-21

Ufu 22:20-21 SUV

Yeye mwenye kuyashuhudia haya asema, Naam; naja upesi. Amina; na uje, Bwana Yesu. Neema ya Bwana Yesu na iwe pamoja nanyi nyote. Amina.

Soma Ufu 22

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufu 22:20-21