Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufu 3:15-16

Ufu 3:15-16 SUV

Nayajua matendo yako, ya kuwa hu baridi wala hu moto; ingekuwa heri kama ungekuwa baridi au moto. Basi, kwa sababu una uvuguvugu, wala hu baridi wala moto, nitakutapika utoke katika kinywa changu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufu 3:15-16