Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wakorintho 8:6

1 Wakorintho 8:6 SRUV

lakini kwetu sisi Mungu ni mmoja tu, aliye Baba, ambaye vitu vyote vimetoka kwake, nasi tunaishi kwake; yuko na Bwana mmoja Yesu Kristo, ambaye kwake vitu vyote vimekuwapo, na sisi kwa yeye huyo.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Wakorintho 8:6