Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wakorintho 9:25-26

1 Wakorintho 9:25-26 SRUV

Na kila ashindanaye katika michezo hujizuia katika yote; basi hao hufanya hivyo ili wapokee taji liharibikayo; bali sisi tupokee taji lisiloharibika. Hata mimi napiga mbio vivyo hivyo, si kama asitaye; napigana ngumi vivyo hivyo, si kama apigaye hewa

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Wakorintho 9:25-26