Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Yohana 4:18-19

1 Yohana 4:18-19 SRUV

Katika pendo hamna hofu; lakini pendo lililo kamili huitupa nje hofu, kwa maana hofu ina adhabu; na mwenye hofu hakukamilishwa katika pendo. Sisi tunapenda kwa maana yeye alitupenda sisi kwanza.

Soma 1 Yohana 4