Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Timotheo 1:9-10

1 Timotheo 1:9-10 SRUV

akilifahamu neno hili, ya kuwa sheria haimhusu mtu asiye na hatia, bali wavunjao sheria, waasi, na makafiri, na wenye dhambi, na wanajisi, na wasiomcha Mungu, na wapigao baba zao, na wapigao mama zao, na wauaji, na wazinifu, na wafiraji, na waibao watu, na waongo, nao waapao kwa uongo; na linginelo lolote lisilopatana na mafundisho ya kweli

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Timotheo 1:9-10