Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu la Torati 1:17

Kumbukumbu la Torati 1:17 SRUV

Msitazame nafsi za watu katika hukumu; muwasikize wadogo na wakubwa sawasawa; msiche uso wa mtu yeyote; kwa kuwa hukumu ni ya Mungu; na lile neno liwashindalo mniletee mimi, nami nitalisikiza.