Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu la Torati 2:7

Kumbukumbu la Torati 2:7 SRUV

Kwa kuwa BWANA, Mungu wako, amekubariki katika kazi yote ya mkono wako; amejua ulivyotembea katika jangwa kubwa hili; miaka arubaini hii alikuwa nawe BWANA, Mungu wako; hukukosa kitu.