Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu la Torati 8:2

Kumbukumbu la Torati 8:2 SRUV

Nawe utaikumbuka njia ile yote BWANA, Mungu wako aliyokuongoza miaka hii arubaini katika jangwa, ili akunyenyekeze, kukujaribu kuyajua yaliyo moyoni mwako, kwamba utashika amri zake, au sivyo.