Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 31:2-5

Kutoka 31:2-5 SRUV

Angalia, nimemwita kwa jina lake Bezaleli mwana wa Uri, mwana wa Huri, wa kabila la Yuda; nami nimemjaza Roho ya Mungu, katika hekima, na maarifa, na ujuzi, na mambo ya kazi ya kila aina, ili abuni kazi za ustadi, kuwa fundi wa dhahabu, na wa fedha, na wa shaba, na kukata vito kwa kutiwa mahali, na kuchora miti, na kufanya kazi ya ustadi iwayo yote.

Soma Kutoka 31

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kutoka 31:2-5