Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 13:10

Mwanzo 13:10 SRUV

Lutu akainua macho yake, akaliona Bonde lote la Yordani, ya kwamba lote pia lina maji, kabla BWANA hajaharibu Sodoma na Gomora, lilikuwa kama bustani ya BWANA, kama nchi ya Misri hapo unapokwenda Soari.

Soma Mwanzo 13

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 13:10