Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 34:25

Mwanzo 34:25 SRUV

Ikawa siku ya tatu, walipokuwa wakiumwa sana, wana wawili wa Yakobo, Simeoni na Lawi, nduguze Dina, wakatwaa kila mtu upanga wake, wakaujia mji kwa ujasiri, wakawaua wanaume wote.

Soma Mwanzo 34

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 34:25