Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waraka kwa Waebrania 13:15-16

Waraka kwa Waebrania 13:15-16 SRUV

Basi, kwa njia yake yeye, na tumpe Mungu dhabihu ya sifa daima, yaani, tunda la midomo iliungamalo jina lake. Lakini msisahau kutenda mema na kushirikiana; maana sadaka kama hizi ndizo zimpendezazo Mungu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Waraka kwa Waebrania 13:15-16