Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Hosea 2:19-20

Hosea 2:19-20 SRUV

Nami nitakuposa uwe wangu wa milele; naam, nitakuposa kwa haki, na kwa hukumu, na kwa ufadhili, na kwa rehema. Nami nitakuposa kwa uaminifu; nawe utamjua BWANA.

Soma Hosea 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Hosea 2:19-20