Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 26:9

Isaya 26:9 SRUV

Kwa nafsi yangu nimekutamani wakati wa usiku; Naam, kwa nafsi yangu ndani yangu nitakutafuta mapema; Maana hukumu zako zikiwapo duniani, Watu wakaao duniani hujifunza haki.

Soma Isaya 26

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Isaya 26:9