Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Malaki 4:1

Malaki 4:1 SRUV

Kwa maana, angalieni, siku ile inakuja, inawaka kama tanuri; na watu wote wenye kiburi, nao wote watendao uovu, watakuwa makapi; na siku ile inayokuja itawateketeza, asema BWANA wa majeshi; hata haitawaachia shina wala tawi.

Soma Malaki 4

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Malaki 4:1