Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 22:19-21

Mathayo 22:19-21 SRUV

Nionesheni fedha ya kodi. Nao wakamletea dinari. Akawaambia, Ni ya nani sanamu hii, na anwani hii? Wakamwambia, Ni ya Kaisari. Akawaambia, Basi, mpeni Kaisari yaliyo ya Kaisari, na Mungu yaliyo ya Mungu.

Soma Mathayo 22

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 22:19-21