Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 103:10-12

Zaburi 103:10-12 SRUV

Hakututenda kulingana na hatia zetu, Wala hakutulipa kwa kadiri ya maovu yetu. Maana, kama mbingu zilivyoinuka juu ya nchi, Ndivyo fadhili zake zilivyo kuu kwa wamchao. Kama mashariki ilivyo mbali na magharibi, Ndivyo alivyoweka dhambi zetu mbali nasi.

Soma Zaburi 103