Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 103:10-12

Zaburi 103:10-12 BHN

Yeye hatuadhibu kama tunavyostahili; hatulipizi kadiri ya uovu wetu. Kama vile anga lilivyo juu mbali na dunia, ndivyo ulivyo mwingi wema wake kwa watu wanaomcha. Kama mashariki ilivyo mbali na magharibi, ndivyo azitengavyo dhambi zetu mbali nasi.

Soma Zaburi 103