Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 73:23-24

Zaburi 73:23-24 SRUV

Walakini mimi ni pamoja nawe daima, Umenishika mkono wa kulia. Utaniongoza kwa shauri lako, Na baadaye utanikaribisha kwa utukufu.

Soma Zaburi 73

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 73:23-24