Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 13:11-12

Ufunuo 13:11-12 SRUV

Kisha nikaona mnyama mwingine, akipanda juu kutoka katika nchi; naye alikuwa na pembe mbili kama Mwana-kondoo, akanena kama joka. Naye atumia uwezo wote wa mnyama yule wa kwanza mbele yake. Naye aifanya dunia na wote wakaao ndani yake wamsujudie mnyama wa kwanza, ambaye jeraha lake la mauti lilipona.

Soma Ufunuo 13

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufunuo 13:11-12