Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 14:13

Ufunuo 14:13 SRUV

Nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, Andika, Heri wafu wafao katika Bwana tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao; kwa kuwa matendo yao yafuatana nao.

Soma Ufunuo 14

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufunuo 14:13