Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Warumi 10:9

Warumi 10:9 SRUV

Kwa sababu, ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka.

Soma Warumi 10

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Warumi 10:9