Mwanzo 27:39-40
Mwanzo 27:39-40 NENO
Baba yake Isaka akamjibu, “Makao yako yatakuwa mbali na utajiri wa dunia, mbali na umande wa mbinguni. Utaishi kwa upanga, nawe utamtumikia ndugu yako. Lakini utakapokuwa umejikomboa, utatupa nira yake kutoka shingoni mwako.”