Matendo 1:10-11
Matendo 1:10-11 SWZZB1921
Walipokuwa wakikaza macho mbinguni, yeye alipokuwa akienda zake, watu wawili wakasimama karibu nao, wenye nguo nyeupe, wakasema, Watu wa Galilaya, mbona mmesimama mkitazama mbinguni? Huyu Yesu aliyechukuliwa kutoka kwenu kwenda juu mbinguni, atakuja jinsi hiyo hiyo mlivyomwona akienda zake mbinguni.