Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 1:10-11

Matendo 1:10-11 BHN

Walipokuwa bado wanatazama juu angani, akiwa anakwenda zake, mara watu wawili waliokuwa wamevaa nguo nyeupe walisimama karibu nao, wakasema, “Enyi wananchi wa Galilaya! Mbona mnasimama mkitazama angani? Yesu huyu ambaye amechukuliwa kutoka kwenu kwenda mbinguni atakuja tena namna hiyohiyo mlivyomwona akienda mbinguni.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Matendo 1:10-11