Marko MT. 14
14
1BAADA ya siku mbili ilikuwa siku kuu ya Pasaka, na mikate isiyochachwa: makuhani wakuu na waandishi wakatafuta njia ya kumkamata kwa hila na kumwua. 2Kwa maana walisema, Sio wakati wa siku kuu, isije ikawa fitina katika watu. 3Nae akiwapo Bethania, nyumbani mwa Simon mwenye ukoma, ameketi chakulani, akaja mwanamke mwenye kibweta cha alabastro cha marhamu ya hali udi, safi, ya thamani nyingi; akakivunja kibweta cha alabastro akaimimina kichwani pake. 4Palikuwa na watu waliochukiwa katika nafsi zao wakisema, Ya nini kupoteza marhamu namna hii? 5maana marhamu hii ingalikuzwa kwa dinari mia tatu na kuzidi wakapewa maskini. Wakamnungʼunikia sana yule mwanamke. 6Yesu akasema, Mwacheni; mbona mnamwudhi? amenitendea kazi njema: 7maana siku zote mnao maskini pamoja nanyi, na killa mpendapo mwaweza kuwatendea mema; lakini mimi hamnami sikuzote. 8Ametenda alivyoweza; amenipaka mwili marhamu kwa ajili ya maziko yangu. 9Amin, nawaamhieni, Killa ikhubiriwapo Injili katika ulimwengu wote, na hili alilotenda huyu litatajwa kwa kumbukumbu lake. 10Yuda Iskariote, mmoja wa wathenashara, akaenda zake kwa makuhani wakuu, apate kumsaliti kwao. 11Nao waliposikia wakafurahi, wakaahidi kumpa fedha. Akatafuta njia ya kumsaliti wakati wa kufaa. 12Hatta siku ya kwanza ya mikate isiyochachwa, walipoichinja Pasaka, wanafunzi wake wakamwambia, Wapi unataka tuende tukaandalie uile pasaka? 13Akapeleka wawili katika wanafunzi wake, akawaambia, nendeni zenu mjini; atakutana nanyi mwanamume akichukua mtungi wa maji; mfuateni: 14na po pote atakapoingia, mwambieni mwenye nyumba, Mwalimu asema, I wapi sebule ya wageni, niile pasaka, pamoja na wanafunzi wangu? 15Nae mwenyewe atawaonyesha orofa kuhwa, imetandikwa tayari: huko tuandalieni. 16Wanafunzi wakatoka, wakaenda mjini, wakaona kama alivyowaambia, wakaiandaa pasaka. 17Ilipokuwa jioni yuaja pamoja na wathenashara. 18Nao wakiisha kuketi chakulani, wakila, Yesu akasema, Amin, nawaambieni, mmoja wenu, nae anakula pamoja nami, atanisaliti. 19Wakaanza kuhuzunika, wakamwambia, mmoja mmoja, Ni mimi? na mwingine, Ni mimi? 20Akawaamhia, Ni mmoja wa wathenashara, yeye achovyae pamoja nami katikakombe. 21Kwa maana Mwana wa Adamu aenda zake kama alivyoandikiwa: lakini ole wake mtu yule ambae Mwana wa Adamu amesalitiwa nae: ingekuwa kheri kwake kama asingezahwa mtu yule. 22Nao wakila, akatwaa mkate, akahariki, akamega, akawapa, akasema, Twaeni; huu ni mwili wangu. 23Akatwaa kikombe, akashukuru, akawapa; wakakinywea wote. 24Akawaambia, Hii ni damu yangu, ya agano jipya, imwagikayo kwa ajili ya watu wengi. 25Amin, nawaambieni, Sitakunywa tena kabisa uzao wa mzabibu, hatta siku ile nitakaponnywa mpya katika ufalme wa Mungu. 26Wakiisha kuimba wakatoka kwenda mlima wa mizeituni. 27Na Yesu akawaambia, Mtachukizwa nyote kwa ajili yangu nsiku huu: kwa kuwa imeandikwa, Nitampiga mchunga, na kondoo watatawanyika. 28Lakini baada ya kufufuka kwangu, nitawatangulia kwenda Galilaya. 29Petro akamwambia, Wajapochukizwa wote, lakini sio mimi. 30Yesu akamwambia, Amin, nakuambia, Wewe leo, usiku huu, kabla ya kuwika jogoo marra mbili, utanikana marra tatu. 31Nae akazidi sana kusema, Ijaponipasa kufa nawe, sitakukana kabisa. Na wote wakasema vivi hivi. 32Tena wakaja mahali jina lake Gethsemane; akawaambia wanafunzi wake, Ketini hapa muda nisalipo. 33Akamchukua Petro na Yakobo na Yohana pamoja nae, akaanza kufadhaika sana na kuhangaika. 34Akawaambia, Roho yangu ina huzuni nyingi kiasi cha kufa; kaeni hapa mkakeshe. 35Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifudifudi, akiomha, ya kuwa, ikiwezekana, saa hii impitie. 36Akasema, Abba, Baba, yote yawezekana kwako; uniondolee kikomhe hiki: walakini, si nitakavyo mimi, bali utakavyo wewe. 37Akaenda akawakuta wamelala, akamwambia Petro, Simon, umelala? Hukuweza kukesha saa moja? 38Kesheni, kasalini, msipate kuingia majaribuni: roho ina nia njema, hali mwili dhaifu. 39Akaenda zake fena, akaomha, akasema neno lili hili. 40Hatta akaenda akawakuta wamelala tena, maana macho yao yanickuwa mazito, wala hawakujua la kumjibu. 41Akaja marra ya tatu, akawaambia, Laleni sasa, hatta mwisho, kapumzikeni: yatosha, saa imekuja; Mwana wa Adamu anatiwa mikononi mwao wenye dhambi. 42Ondokeni, twende; tazama, yeye anaenisaliti amekaribia. 43Na alipokuwa katika kusema marra Yuda akafika, mmoja wa wathenashara, na pamoja nae mkutano, wana panga na marungu, wametoka kwa makuhani wakuu, na waandishi, na wazee. 44Na yeye anaemsaliti amewapa ishara, akisema, Nitakaembusu, ndiye; mkamateni, mehukueni salama. 45Alipokuja, marra akamwendea, akasema, Rabbi, Rabbi; akambusu sana. 46Wakanyosha mikono yao wakamkamata. 47Na mmoja wao waliohudhuria akavuta upanga, akampiga mtumwa wa kuhani mkuu, akamkata sikio. 48Yesu akajibu, akawaambia, Kama juu ya mnyangʼanyi mmetoka na panga na marungu, kuja kunitwaa? 49Killa siku nalikuwa mbele yenu bekaluni nikifundisha, wala hamkunikamata: lakini maandiko yapate kutimia. 50Wote wakamwacha, wakakimbia. 51Na kijana mmoja alimfuata, amejitanda nguo ya katani; 52wakamkamata; nae akaiacha ile nguo ya katani, akawakimbia, yu uchi. 53Wakamchukua Yesu kwa mkubani mkuu; wakamkusanyikia wote, makhani wakuu na wazee na waandishi. 54Petro akamfuata mbali, hatta ndani katika behewa ya kuhani mkuu; akaketi pamoja na watumishi, anakota moto. 55Makuhani wakuu na baraza wote wakatafuta ushuhuda juu ya Yesu wapate kumwua: wasione. 56Kwa maana wengi walimshuhudia uwongo, na ushuhuda wao haukupatana. 57Hatta watu wakasimama wakamshubudia kwa uwonoo, wakisema, 58Sisi twalimsikia akiseina, Mimi nitaivunja hekalu hii iliyofanyika kwa mikono, na kwa siku tatu nitajenga ingine isiyofanyika kwa mikono; 59hatta hivi ushuhuda wao haukuwa sawa. 60Kuhani mkuu akasimama kati kati, akamwuliza Yesu, akisema, Hujibu neno? Hawa wakushuhudiani? 61Lakini akanyamaza, wala hakujibu neno. Knbani mkuu akamwuliza tena, akamwambia, Wewe ndiwe Kristo, Mwana wake aliye Mtukufu? 62Yesu akasema, Mimi ndio yeye, nanyi mtamwona Mwana wa Adamu ameketi mkono wa kuume wa nguvu, akija na mawingu ya mbingu. 63Kuhani mkuu akararua nguo zake, akisema, Tuna baja gani ya mashahidi wengine? 64Mmesikia kufuru yake; mwaonaje? Wote wakamhukumu kuwa amepasiwa kufa. 65Wengine wakaanza kumtemea mate, na kumfunika uso, na kumpiga konde, na kumwambia, Fanya unabii. Watumishi wakampiga makofi. 66Na Petro alikuwa chini sebuleni, akaja mmoja wa vijakazi wa kuhani mkuu: akamwona Petro akikota moto; 67akamtazama, akasema, Wewe nawe ulikuwa pamoja na yule Mnazareti, Yesu. 68Akakana, akasema, Sijui wala si sikii usemavyo. Akatoka nje hatta ukumbini; jogoo akawika. 69Na yule kijakazi akamwona tena, akaanza kuwaambia waliohudhuria, Huyu ni mmoja wao. Akakana tena. 70Punde kidogo wale waliohudhuria wakamwambia Petro, Hakika u mmoja wao, kwa sababu u Mgalilaya wewe, na usemi wako kama usemi wao. 71Akaanza kulaani na kuapiza, Simjui mtu huyu mnenae. 72Jogoo akawika marra ya pili. Petro akalikumbuka neno lile aliloambiwa na Yesu, Kabla ya kuwika jogoo marra mbili, utanikana marra tatu. Na alipolifikiri, akalia.
Iliyochaguliwa sasa
Marko MT. 14: SWZZB1921
Kuonyesha
Shirikisha
Nakili
Je, ungependa vivutio vyako vihifadhiwe kwenye vifaa vyako vyote? Jisajili au ingia
Swahili New Testament © Bible Society of Tanzania, 1921.

: