1 Mose 22:17-18
1 Mose 22:17-18 SRB37
nitakubariki kweli, nikupe, uzao wako uwe watu wengi sana kama nyota za mbinguni au kama mchanga ulioko ufukoni kwenye bahari, hao wa uzao wako wayatwae malango ya adui zao kuwa yao. Katika uzao wako ndimo, mataifa yote ya nchini yatakamobarikiwa, kwa kuwa umeisikia sauti yangu.