1 Mose 39:11-12
1 Mose 39:11-12 SRB37
Ikawa siku moja, alipoingia kufanya kazi zake chumbani, msimokuwa na mtu hata mmoja wao wakazi wa humo chumbani, ndipo, alipomkamata nguo yake na kusema: Lala kwangu! Lakini akaiacha nguo yake mkononi mwake, akakimbia na kutoka nje.