Matendo 1:4-5
Matendo 1:4-5 NMM
Wakati mmoja alipokuwa pamoja nao, aliwapa amri hii, “Msitoke Yerusalemu, bali ingojeni ahadi ya Baba, ambayo mmenisikia nikisema habari zake. Yahya aliwabatiza kwa maji, lakini baada ya siku chache mtabatizwa kwa Roho wa Mwenyezi Mungu.”