Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wafalme 22:7

1 Wafalme 22:7 BHN

Lakini, Yehoshafati akasema, “Je, hapa hakuna nabii mwingine wa Mwenyezi-Mungu ambaye twaweza kumwuliza shauri?”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Wafalme 22:7