Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Petro 3:10-11

1 Petro 3:10-11 BHN

Kama yasemavyo Maandiko Matakatifu: “Anayetaka kufurahia maisha, na kuona siku za fanaka, ajizuie asiseme mabaya aepe kusema uongo. Ajiepushe na uovu, atende mema, atafute amani na kuizingatia.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Petro 3:10-11