Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Timotheo 6:18-19

1 Timotheo 6:18-19 BHN

Waamuru watende mema, wawe matajiri katika matendo mema, na wawe wakarimu na walio tayari kuwashirikisha wengine mali zao. Kwa namna hiyo watajiwekea hazina ambayo itakuwa kwao msingi imara kwa wakati ujao. Hapo wataweza kujipatia uhai ambao ni uhai wa kweli.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Timotheo 6:18-19