Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Wakorintho 1:6

2 Wakorintho 1:6 BHN

Ikiwa tunapata taabu, basi ni kwa ajili ya faraja na wokovu wenu. Tukifarijika, ni kwa ajili ya kuwafariji nyinyi na kuwaunga mkono mpate nguvu ya kustahimili mateso yaleyale tunayoteseka sisi.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Wakorintho 1:6