Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Wafalme 6:17

2 Wafalme 6:17 BHN

Kisha Elisha akaomba, “Ee Mwenyezi-Mungu, umfumbue macho ili apate kuona!” Basi, Mwenyezi-Mungu akamfumbua macho huyo kijana, akaona farasi na magari ya moto yakiwa kila mahali katika mlima wote, kumzunguka Elisha.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Wafalme 6:17