Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 7:57-58

Matendo 7:57-58 BHN

Hapo, watu wote katika kile kikao cha Baraza, wakapiga kelele na kuziba masikio yao kwa mikono yao. Kisha wakamrukia wote kwa pamoja, wakamtoa nje ya mji, wakampiga mawe. Wale mashahidi wakayaweka makoti yao chini ya ulinzi wa kijana mmoja jina lake Saulo.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Matendo 7:57-58