Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Danieli 2:20-22

Danieli 2:20-22 BHN

akasema, “Na litukuzwe milele na milele jina lake Mungu. Hekima na nguvu ni vyake. Hubadilisha nyakati na majira, huwaondoa na kuwatawaza wafalme. Wenye busara huwapa hekima, wenye maarifa huwaongezea ufahamu. Hufunua siri na mafumbo, ajua kilichoko gizani, mwanga wakaa kwake.

Soma Danieli 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Danieli 2:20-22