Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu la Sheria 1:8

Kumbukumbu la Sheria 1:8 BHN

Nchi hii yote nimeiweka mbele yenu. Basi, nendeni mkaimiliki nchi hiyo ambayo mimi Mwenyezi-Mungu niliapa kuwapa wazee wenu Abrahamu, Isaka, Yakobo na wazawa wao.’”