Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu la Sheria 17:19

Kumbukumbu la Sheria 17:19 BHN

Nakala hiyo atakuwa nayo daima na kuisoma maisha yake yote, ili apate kujifunza kumcha Mwenyezi-Mungu, Mungu wake, akishika na kutimiza maneno yote ya sheria hii na masharti haya