Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu la Sheria 4:2

Kumbukumbu la Sheria 4:2 BHN

Msiongeze chochote katika amri ninazowapeni, wala msipunguze kitu; zingatieni amri za Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, ambazo ninawapeni.