Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu la Sheria 6:4-5

Kumbukumbu la Sheria 6:4-5 BHN

“Basi sikilizeni enyi Waisraeli! Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, ni Mwenyezi-Mungu mmoja. Mpendeni Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, kwa moyo wenu wote, kwa roho yenu yote na kwa nguvu zenu zote.