Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu la Sheria 8:15

Kumbukumbu la Sheria 8:15 BHN

Ndiye aliyewaongoza katika lile jangwa kubwa na la kutisha, lenye nyoka wenye sumu na nge; katika nchi ile kame isiyokuwa na maji, aliwatolea maji kutoka kwenye mwamba mgumu.