Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu la Sheria 8:16

Kumbukumbu la Sheria 8:16 BHN

Tena ndiye aliyewalisheni mana jangwani, chakula ambacho babu zenu hawakupata kukijua. Alifanya hayo yote ili awanyenyekeshe na kuwajaribu, ili kuwapima apate kuwajalia mema mwishowe.