Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waefeso 6:10-11

Waefeso 6:10-11 BHN

Hatimaye, nawatakeni muwe imara katika kuungana na Bwana na kwa msaada wa nguvu yake kuu. Vaeni silaha anazowapeni Mungu mpate kuzipinga mbinu mbaya za Ibilisi.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Waefeso 6:10-11