Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 25:32-33

Mwanzo 25:32-33 BHN

Esau akasema, “Sawa! Niko karibu kufa; haki yangu ya mzaliwa wa kwanza itanifaa nini?” Yakobo akamwambia, “Niapie kwanza.” Basi, Esau akamwapia na kumwuzia Yakobo haki yake ya mzaliwa wa kwanza.

Soma Mwanzo 25

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 25:32-33