Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 32:32

Mwanzo 32:32 BHN

Ndiyo maana mpaka leo Waisraeli hawali msuli wa nyonga, kwa maana yule mtu alimgusa Yakobo panapo nyonga katika msuli wa kiuno chake.

Soma Mwanzo 32

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 32:32